Karua kuongoza kampeni za kupinga BBI

0
987

Kiongozi wa chama Cha Narc Kenya Martha Karua ataongoza mchakato wa kupinga BBI.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeini ya Linda katiba, Karua amesema kuwa mabunge ya kaunti yanafaa kuangusha BBI akidai inanufaisha watu wachache  wanaojitakia makuu.

Amelalamika kuwa si sawa kwa viongozi kupigia debe mchakato wa BBI ilihali Kuna katiba ya mwaka wa 2010 ambayo bado haitekelezwi kikamilifu.

Comments

comments