Rais Ruto ndiye dawa ya uskwota-Owen Baya

0
643

Rais William Ruto ana mpango kabambe wa kutatua changamoto ya ardhi hapa pwani.

Hayo ni kwa mujibu wa mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya.

Akihojiwa hapa Baraka fm Baya ambaye pia ni naibu wa wengi katika bunge la kitaifa amesema tayari serikali imeanza mikakati ya kulipia maskwota ardhi eneo hilo.

Amesema tayari mikataba ya ununuzi wa ardhi kwa ajili ya maskwota hao imeanza katika baadhi ya maeneo ya kaunti hiyo kama vile ardhi ya Mazrui.

Comments

comments