Watahiniwa wa KCSE Mombasa wapokea vifaa vya mtihani

0
1398

Watahiniwa wa kidato cha nne KCSE hapa Mombasa wamepokea vifaa vya kuwasadia katika mtihani.

Ufadhili uliotolewa ni pamoja na daftari, kalamu na seti kutoka kwa wakili wa Mombasa bi. Fatma Barayan.

Bi.Barayan ambaye anatarajiwa kugombea wadhifa wa useneta au mwakilishi wa wanawake hapa Mombasa, aliongoza hafla hiyo.

Wanafunzi wa eneo la  Freretown ni miongoni mwa waliofaidika.

Mtihani wa KCSE utaanza tarehe 26 machi (wiki ijayo).

Comments

comments