Bei ya petroli yapungua kwa senti

0
1227

Bei mpya ya mafuta imetangazwa nchini.

Hapa Mombasa petrol itauzwa  Sh113.10, diesel Sh107.10 ilhali mafuta ya taa ikiuzwa  Sh106.21.kwa lita.

Jijini Nairobi bei ya petrol imepunguza kwa shilingi moja na senti 60 na ya diesel ikiongezeka kwa kiwango hicho.

Bei hiyo itanza kutekelezwa jumatatu hii hadi novemba tarehe 14.

Comments

comments