Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za Kikuyu Joseph Kamaru ameaga dunia.
Kamaru alifariki aktibiwa katika hospitali ya MP Shah jijini Nairobi akiwa na umri wa miaka 79.
Kamaru, atakumbukwa kwa nyimbo zake kama vile Uthoni Wa Mbathini na Tiga Kuhenia Igoti yaani : wacha kudanganya koti.