Mfanyabiashara wa Mombasa TSS afariki

0
2644

Mombasa,KENYA:Mfanyabiashara maarufu hapa Mombasa  Tahir Sheik Said – maarufu kama TSS ameaga dunia.

Jamaa yake anasema TSS amefariki nchini Afrika kusini akitibiwa.

Alisafirishwa hadi Afrika kusini mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuugua.

Bwenyenye huyo ndiye mmliki wa jumba na mabasi ya TSS .

Comments

comments