Familia zafurushwa kutoka nyumba za serikali Changamwe

0
1787

Familia kadhaa huko Changamwe zimebaki  bila makao baada ya kufurushwa kwa nyumba zao.

Hii ni kufuatia mozoz kuhusu ada ya nyumba inayolipwa kila mwezi katika majengo ya National Housing.

Chifu wa Changamwe Isaac  Makau ameambia Baraka fm kwa njia ya simu kuwa family hizo zimefurushwa kufuatia agizo la mahakama.

Amesema familia zilizofurushwa zimedinda kulipa kodi ya shilingi elfu 8 kinyume na kodi ya zamani ya shilingi lefu 2,500.

Comments

comments