Gari moshi ya SGR kubeba abiria 1,200 kuanzia Juni

0
3657
SGR train in Mombasa.PHOTO:FILE

Mombasa,KENYA:Gari moshi mpya ya kisasa ya SGR itakuwa na uwezo wa kuwabeba abiria 1,200 kwa wakati mmoja.

Aidha safari ya gari moshi  hilo itakuwa saa 5 kutoka Nairobi-Mombasa.

Shirika la reli nchini linasema kuwa safari ya kwanza ya SGR itakuwa tarehe 31 mwezi huu wa mei.

Mkurugenzi wa shirika hilo Atanas Maina amesema kutakuwa na safari moja kwa siku.

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzindua rasmi mradi huo.

Comments

comments