Noordin Haji ateuliwa kuwa mkuu wa mashtaka ya umma

0
1074

Nairobi,KENYA: Rais Uhuru Kenyatta amemteua Noordin Mohamed Haji kuwa mkuu mpya wa mashtaka ya umma.

Noordin amekua naibu mkurugenzi wa idara ya ujasusi nchini NIS.

Kamati ya uteuzi ilimpa rais Kenyatta majina ya watu watatu wanaopendekezwa kwa wadhifa huo.

Noordin iwapo ataidhinishwa na bunge, atachukua nafasi ya Keriako Tobiko ambaye aliteuliwa kuwa waziri wa mazingira.

Comments

comments