Raila amfikia rais Kenyatta katika umaarufu

0
1450

Nairobi,KENYA: Kampuni ya synovate imetoa kura ya maoni ikionyesha kuwa rais Uhuru Kenyatta angeshinda urais iwapo uchaguzu ungefanyika leo.

Katika kura hiyo, rais anaongoza kwa asilimia 47 huku kinara wa NASA Raila Odinga akiwa na asilimia 42.

Utafiti huo aidha unaonyesha kuwa umaarufu wa tiketi ya Raila-Kalonzo umeongezeka.

Asilimia 8 ya wakenya bado hawajaamua ni nani watampigia kura.

Asilimia moja wangesusia uchaguzi huo.

Comments

comments