Lamu, KENYA: Waziri wa Utalii Najib Balala anatathmini kuhusu namna ya kuondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya watalii kuzuru kaunti ya Lamu.
Waziri Balala alisema wizara yake...
Mombasa,KENYA: Usimamizi wa makavazi ya Fort Jesus mjini Mombasa umepongeza juhudi zilizopigwa na vyombo vya usalama kuhakikisha amani na usalama vinaimarishwa katika kaunti hiyo.
Mmoja...
Mombasa, KENYA: Mamlaka ya bandari nchini KPA inasema huduma katika bandari hiyo zimeimarika hata zaidi katika mwaka huu wa kifedha ikilinganishwa na mwaka uliotangulia.
Hayo...
NAIROBI, KENYA: Kampuni ya mawasiliano ya kiteknolojia Liquid Telecom limetangaza kuwekeza takriban shilingi bilioni 20 katika harakati za kusambaza huduma za mtandao wa Internet...
Mombasa,KENYA:Idara ya usalama Mombasa inasema imewakamatwa washukiwa wanne wa ujambazi eneo Likoni.
Wanne hao -wanawake wawili na wanaume 2 wamekamatwa wakiwa chumba kimoja cha kukodi...