Tana river, KENYA:Mwili wa mwanamke anayesemekana kushambuliwa na mamba katika kijiji cha mji wa wazee huko Hola kaunti ya Tana River umepatikana.
Mwili huo ulipatikana...
Wakaazi wa kaunti ya Tana River wanasema hawaridhishwi na ugavi wa fedha za hazina ya karo yaani Bursary.
Mohamed Gedi mkaazi wa Tana River ameambia...
Viongozi mbali mbali hapa Pwani wanaendelea kutoa hisia zao kuhusu uchaguzi wa viongozi wa muungano wa wabunge wa Pwani.
Kiongozi wa karibuni kabisa kutoa hisia...
Wauguzi katika kaunti ya Tana River wamefutilia mbali mgomo wao uliokuwa ukisubiri kauli ya gavana Hussein Dhado.
Hii ni baada ya gavana Dhado kutimiza ahadi...
HOLA,KENYA: Shule moja ya msingi kaunti ya Tana River iliyoanzishwa miaka 37 iliyopita haijawahi kuwa na mtahiniwa katika mtihani wowote wa kitaifa!
Shule hiyo MAWENI...
Mafuriko yanayokumba kaunti ya Tana River sawa na kaunti zingine nchini yameacha melfu ya watu bila makao.
Kwa sasa wakazi zaidi ya elfu thelathini kaunti...
Watu wawili waliripotiwa kufariki Jumanne ndani ya mto Tana katunti ya Tana River, pale Kiboko alipovamia mashua yao katika harakati za kuvuka mto huo.
Mkasa...
Simba ambaye amekuwa akihangaisha mifugo katika kaunti ya Tana River alikamatwa na kupelekwa hospitali!
Madaktari wa mifugo walilazimika kumkagua samba huyo ili kubaini iwapo yuko...
Lamu,KENYA:Kamishna wa Kaunti ya Lamu, Joseph Kanyiri, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wa Lamu dhidi ya kuchochea wananchi hasa msimu huu wa sherehe.
Kanyiri anasema msimu huu...