Taita Taveta, KENYA:Maelfu ya wakaazi wanaoishi eneo la mpakani huko Taita Taveta na wasio na vitambulisha vya kitaifa, wanatarajiwa kusajiliwa ili kupewa stakabadhi hiyo.
Hata...
Kwale,KENYA: Zaidi ya wakaazi laki moja huko kaunti ya kwale wameripotiwa kuathirika na ukame.
Maeneo yaliyoathirika zaidi ni Kinango, Ndavaya, Samburu ,Chengoni na Maknon road...
Taita Taveta, KENYA: Wakaazi huko Wundanyi kaunti ya Taita Taveta wanaitaka idara ya usalama eneo hilo kuchunguza visa vya kundi la watu kujihusisha na...
Mombasa,KENYA:Takribani shule tano za upili kaunti ya Laumu zimefungwa ghafla baada ya wanafunzi kukataa kufanya mtihani wa Mwigo.
Shule hizo ni Kizingitini, Siyu, Wiyoni, Witu...
Voi, KENYA: Shughuli inatarajiwa kuanza hivi karibuni, kufanyia usorovea mashamba yaliyoko mjini Voi kaunti ya Taita Taveta, na kisha kutoa hati miliki za ardhi...
Wajumbe wa bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki wamezuru kaunti ya Taita Taveta, kukutana na viongozi pamoja na wafanyabiashara wa eneo hilo.
Wajumbe hao wamejadili...
Magavana John Mruttu wa Taita Taveta na Hassan Joho wa Mombasa wanahimiza viongozi wenzao wa Pwani kuunga mkono jumuiya ya kaunti za Pwani.
Magavana hao...
Gavana wa Taita Taveta John Mruttu hatimaye amekubali kutia sahihi mswada wa bajeti ya ziada (Supplementary Appropriation Bill, 2015).
Hii itaiwezesha kaunti hiyo kulipa madeni...
Mwanamume wa umri wa miaka 29 amejiua katika kijiji cha Mwatunge eneo bunge la Mwatate.
Inadaiwa kuwa mwanamume huyo,JOSEPH MBEKE alijitia kitanzi kwa kutumia kamba...
Ajali iliyohusisha trela ya mizigo na “tanker” ya kusafirisha mafuta iligeuka kuwa mkasa Jumanne asubuhi katika barabara kuu ya Mombasa-Nairobi, pale magari hayo yalipowaka...
Mombasa,KENYA:Idara ya usalama Mombasa inasema imewakamatwa washukiwa wanne wa ujambazi eneo Likoni.
Wanne hao -wanawake wawili na wanaume 2 wamekamatwa wakiwa chumba kimoja cha kukodi...