Kwale,KENYA: Zaidi ya wakaazi laki moja huko kaunti ya kwale wameripotiwa kuathirika na ukame.
Maeneo yaliyoathirika zaidi ni Kinango, Ndavaya, Samburu ,Chengoni na Maknon road...
Kwale, KENYA: Polisi kaunti ya Kwale wamewakamata watu 5 wanaowahusisha na kundi la kigaidi la al shabaab.
Maafisa hao wanasema wamewakamata katika msitu wa mbita...
Kwale, KENYA: Familia moja Ukunda kaunti ya Kwale inaomba serikali na wahisani kuisaidia kumrejesha nyumbami binti yao Aisha Ali Mwakufwairwa anayedaiwa kuzuiliwa nchini Saudia...
Kwale, KENYA: Police in Kwale say they have shot an Alshabaab suspect at Mascrape area in Ukunda.
The suspect identified as Hesbon Matheka alias Omar...
Kwale,KENYA:Watu watatu wakiwepo wazee wawili wa vijiji na kiongozi mmoja wa kidini wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika katika kijiji cha Bongwe Ukunda...
Idara ya usalama kaunti ya Kwale inasema imeanzisha msako kuwasaka watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa kundi la Alshabaab wanaohusishwa na mauaji eneo la Ukunda.
Kamishana...
Kwale/Kilifi, KENYA: Nine people died over the weekend in two separate road accidents in Kilifi and Diani.
Seven people among them two children died on...
Lamu,KENYA:Kamishna wa Kaunti ya Lamu, Joseph Kanyiri, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wa Lamu dhidi ya kuchochea wananchi hasa msimu huu wa sherehe.
Kanyiri anasema msimu huu...