Daadab,KENYA:Serikali imeanza zoezi la kukagua wakimbizi walio katika kambi ya Daadab, ili kuondoa wakimbizi gushi walio kambini humo.
Waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery...
Mombasa,KENYA: Washukiwa tisa wa vuguvugu la Mombasa Republican Council-MRC wameshtakiwa katika mahakama ya Mombasa kwa madai ya kuchangisha pesa ambazo zinadaiwa zingetumika kueneza chuki...
Nairobi,KENYA: Matokeo ya mtihani wa darasa la 8 KCPE yanatarajiwa kutolewa leo.
Matokeo hayo yatatangazwa rasmi na waziri wa elimu Fred Matiang’i.
Awali serikali ilitangaza kuwa...
Mombasa,KENYA: Mshukiwa wa kundi la kihalifu kwa jina “the young thugs” huko Likoni ameuawa na umma katika mtaa wa Miami.
Mshukiwa ambae ametambuliwa kama Athuman...
Lamu,KENYA: Abiria kadhaa wameponea kifo baada ya basi lao kushika moto katika eneo la Gamba kaunti ya Lamu.
Basi hilo la Tahmeed lilikuwa likitoka Lamu...
Mombasa,KENYA:Polisi eneo la Kisauni mjini Mombasa wanasema wanawasaka washukiwa wawili wa ujambazi waliojihami kwa silaha hatari ambao jaribio lao la kutaka kutekeleza wizi eneo...
Mombasa, KENYA:Sherehe za mashujaa ziligeuka na kuwa vurugu kwa muda mjini Mombasa baada ya wafuasi wa vyama mbalimbali vya kisiasa kuzomeana.
Watu waliodaiwa kuwa...
Mombasa, KENYA: Kulizuka kizaa katika mtaa wa Ujamaa huko Likoni mjini Mombasa baada ya afisa mkuu wa polisi anayedai kuhudumu katika idara ya ujasusi-NIS,...
Kilifi,KENYA:Jumla ya watu 15 kutoka kijiji cha Bore Singwaya huko Marafa - Magarini kaunti ya Kilifi wanaugua baada ya kula mihogo inayoshukiwa huenda ilikuwa...
Lamu,KENYA:Kamishna wa Kaunti ya Lamu, Joseph Kanyiri, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wa Lamu dhidi ya kuchochea wananchi hasa msimu huu wa sherehe.
Kanyiri anasema msimu huu...