Mombasa,KENYA: Wakristo kote ulimwenguni hii leo wanasherehekea siku kuu ya krismasi.
Hapa Mombasa waumini wamejumuika kanisani kwa ibada ya kukumbuka ya kuzaliwa kwa mwokozi yesu...
Mombasa,KENYA:Wakazi wa Mtongwe watasubiri zaidi kwa huduma za ferry kurudishwa eneo hilo.
Hii ni baada ya shirika la Kenya ferry kutangaza kuahirisha uzinduzi wa huduma...
Mombasa,KENYA:Mahakama ya mombasa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela mwanamume baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji.
Hakimu wa mahakama ya mombasa Douglas Ogoti amesema...
Mombasa,KENYA: Washukiwa tisa wa vuguvugu la Mombasa Republican Council-MRC wameshtakiwa katika mahakama ya Mombasa kwa madai ya kuchangisha pesa ambazo zinadaiwa zingetumika kueneza chuki...
Mombasa,KENYA: Mwanamume mmoja amejitoa uhai kwa kujirusha baharini katika kivuko cha likoni hapa Mombasa.
Walioshuhudia wanasema mwanamume huyo alijirusha sehemu ya juu ya feri...
Mombasa, KENYA: Shirika la Kenya Ferry limeahirisha uzinduzi wa huduma zake katika kivuko cha Mtongwe uliopaswa kufanyika Ijumaa tarehe 2 Disemba 2016.
Baraka Fm imebaini...
Mombasa,KENYA:Shangwe na nderemo zilitanda katika shule ya msingi ya Agha Khan hapa Mombasa, baada ya wanafunzi wawili kuwa miongoni mwa wanafunzi bora katika mtihani...
Mombasa,KENYA: Mahakama ya Mombasa Alhamisi tarehe 30 Novemba, inatarajiwa kutoa uamuzi iwapo polisi wa kimataifa-Interpol kutoka Uingereza watahusishwa katika kesi ya kifo cha kutatanisha...
Likoni, KENYA: Polisi Likoni wamemkamata mkurugenzi wa shule ya upili ya Likoni Community kwa madai ya kuwazuia watahiniwa kufanya mtihani wa kitaifa wa shule...
Lamu,KENYA:Kamishna wa Kaunti ya Lamu, Joseph Kanyiri, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wa Lamu dhidi ya kuchochea wananchi hasa msimu huu wa sherehe.
Kanyiri anasema msimu huu...