Mombasa,KENYA: Mshukiwa wa kundi la kihalifu kwa jina “the young thugs” huko Likoni ameuawa na umma katika mtaa wa Miami.
Mshukiwa ambae ametambuliwa kama Athuman...
KilifimKENYA: Wakazi zaidi ya 6000 kutoka wadi ya Marafa katika kaunti ndogo ya Magarini wanakumbwa na baa la njaa.
Akiongea na wakazi wakati wa ugavi...
Mombasa,KENYA: Naibu rais William Ruto amekariri kuwa serikali haina mpango wa kubinafsisha bandari ya Mombasa.
Akiongea alipokutana na wafanyakazi wa bandari katika eneo la Mabaraki...
Lamu,KENYA: Abiria kadhaa wameponea kifo baada ya basi lao kushika moto katika eneo la Gamba kaunti ya Lamu.
Basi hilo la Tahmeed lilikuwa likitoka Lamu...
Mombasa, KENYA: Mahakama ya Mombasa imekataa ombi la kuwakamata wana wawili wa marehemu Ibrahim Akasha waliokosa kukosa kufika kortini Mombasa Alhamisi kufuatia kesi dhidi...
Mombasa, KENYA: Mahakama kuu ya Mombasa imetoa uamuzi wa kuondoa kipengee cha 26 cha sheria kuhusu serikali za kaunti kilichosema ni lazima kaunti iwe...
Mombasa, KENYA: Mahakama ya Mombasa imeagiza polisi wamzuilie kwa siku 10 zaidi, mwanafunzi wa chuo kikuu cha Moi, Eldoret anayedaiwa kuwa mwanachama wa kundi...
Nairobi, KENYA: Jaji mkuu David Maraga amekutana na viongozi wa upinzani CORD waliomtembelea ofisini kwake mjini Nairobi.
Katika mkutano huo, jaji mkuu aliwahakikishia CORD kuwa...
Mombasa, KENYA: Mbunge wa Likoni Masoud Mwahima amepuuza tangazo la ODM la kumpiga marufuku kutoka chamani, kutokana na hatua yake ya kuasi chama hicho.
Mwahima...
Kwale:KENYA: Polisi inasema imewakata washukiwa wengine wawili zaidi wa shambulizi la kituo cha polisi cha Kombani kaunti ya Kwale.
Idadi hii iliongezeka na kufikisha washukiwa...