Mombasa,KENYA: Mahakama ya Mombasa Alhamisi tarehe 30 Novemba, inatarajiwa kutoa uamuzi iwapo polisi wa kimataifa-Interpol kutoka Uingereza watahusishwa katika kesi ya kifo cha kutatanisha...
Likoni, KENYA: Polisi Likoni wamemkamata mkurugenzi wa shule ya upili ya Likoni Community kwa madai ya kuwazuia watahiniwa kufanya mtihani wa kitaifa wa shule...
Mombasa, KENYA: Serikali ya kaunti ya Mombasa inasema imejiandaa kudhibiti hali iwapo kutatokea mafuriko kufuatia mvua iliyoanza kunyesha hapa Mombasa.
Afisa wa mawasilino katika kaunti...
Mombasa, KENYA: Mahakama ya Mombasa sasa itasikiliza kesi na kutoa uamuzi iwapo wana wawili wa marehemu Ibrahim Akasha na wenzao wengine wawili, watasafirishwa hadi...
Mombasa,KENYA: Mshukiwa wa kundi la kihalifu kwa jina “the young thugs” huko Likoni ameuawa na umma katika mtaa wa Miami.
Mshukiwa ambae ametambuliwa kama Athuman...
KilifimKENYA: Wakazi zaidi ya 6000 kutoka wadi ya Marafa katika kaunti ndogo ya Magarini wanakumbwa na baa la njaa.
Akiongea na wakazi wakati wa ugavi...
Mombasa,KENYA: Naibu rais William Ruto amekariri kuwa serikali haina mpango wa kubinafsisha bandari ya Mombasa.
Akiongea alipokutana na wafanyakazi wa bandari katika eneo la Mabaraki...
Lamu,KENYA: Abiria kadhaa wameponea kifo baada ya basi lao kushika moto katika eneo la Gamba kaunti ya Lamu.
Basi hilo la Tahmeed lilikuwa likitoka Lamu...
Mombasa, KENYA: Mahakama ya Mombasa imekataa ombi la kuwakamata wana wawili wa marehemu Ibrahim Akasha waliokosa kukosa kufika kortini Mombasa Alhamisi kufuatia kesi dhidi...
Mombasa,KENYA:Wakazi wa Mtongwe watasubiri zaidi kwa huduma za ferry kurudishwa eneo hilo.
Hii ni baada ya shirika la Kenya ferry kutangaza kuahirisha uzinduzi wa huduma...