Walimu wasusia shule za Lamu

0
1077

Shule nyingi katika msitu wa Boni kaunti ya Lamu hazina walimu au vifaa vya masomo.

Hii ni licha ya serikali kuagiza shule zifunguliwe mwezi jana.

Shule hizo za  Milimani, Basuba, Mangai, Mararani and Kiangwe hazijapata walimu.

Hii inatokana na changamoto ya kiusalama inayosababishwa na ugaidi kutoka kwa al-shabaab.

Comments

comments