Hofu baada ya mto Voi kuvunja kingo zake

0
1031

Ilani imetolewa kwa wakulima na wanaoishi karibu na mto Voi kuhama baada ya mtu huo kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa inayoshuhudiwa eneo hilo.

Aidha serkali imewataka Wazazi kuwa waangalifu haswa katika eneo la Kaloleni kufuatia athari za mto huo.

Mto Voi ulivunja kingo zake mapema mwezi huu na kusababisha hasara kubwa.

Wakaazi wamesema kuwa wameshuhudia mvua kubwa wiki hii ambayo imesababisha mto huo kuvunja kingo zake na  kuhatarisha maisha yao.

Comments

comments