Magaidi 10 wa Al-shabaab wauawa Lamu

0
962

Wanamgambo 10 wa Al-shabaab wameuwa katika kijiji cha Pandanguo kaunti ya Lamu.

Taarifa ya jeshi la KDF imesema ilipata bunduki 7 aina za AK-47 na zana zingine za kivita.

KDF inasema wanajeshi watatu walijeruhiwa kwenye oparesheni hiyo.

Comments

comments