Mwanamke mjamzito afariki katika ajali Sachang’wan

0
1117

Watu wawili akiwemo mwanamke mjmzito wamefariki katika ajali ya barabara eneo la Sachang’wan.

Ajali hiyo ilitokea jana usiku.

OCPD wa  Molo Daniel Kamanza amesema ajali hiyo ilihusisha matatu ambayo ilikosa mwelekeo na kubinria mara kadha kisha kuanguka ndani ya kidimbwi.

Comments

comments