Miguna Miguna agonjeka Dubai

0
1136
Miguna Miguna in a Dubai hospital bed PHOTO COURTESY

Nairobi,KENYA: Kiongozi wa  vuguvugu la NRM Miguna Miguna amelazwa katika hospitali moja huko Dubai baada ya kugonjeka ghafla.

Wakili wake anasema Miguna anatibiwa katika hospitali ya Sheikh Rashid baada ya kulalamikia maumivu mwilini.

Inadaiwa alidungwa dawa ya usingizi na kusafirishwa kwa lazima hadi Dubai jana usiku.

Miguna Miguna pia amenukuliwa akisema alijikuta Dubai lakini akadinda kuabiri ndege ya kumpeleka hadi London.

Comments

comments