Msichana wa miaka 10 ajitoa uhai kwa kunyimwa zawadi

0
965

Mombasa,KENYA: Msichana wa umri wa miaka 10 amejinyonga huko Likoni mtaa wa Mrima.

Inasemekana amejiua mlangoni kwao kwa kutumia leso baada ya wazazi wake kukataa kusafiri naye hadi Nairobi.

Msichana huyo alitaka kuenda Nairobi na wazazi  ili kununuliwa zawadi.

Polisi wameondoa mwili wake na kuupeleka katika chumba cha maiti cha Coast general.

Comments

comments