Jaji wa mahakama kuu zaidi augua kortini

0
1793
Supreme Court judges . PHOTO/FILE.

Nairobi,KENYA:Jaji wa mahakama ya juu zaidi Mohammed Ibrahim ameugua ghafla wakati kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi ikiendelea.

Jaji mkuu David Maraga hata hivyo amesema daktari anamtibu jaji huyo.

Maraga amesema mahakama bado itaendelea kusikiliza kesi hiyo.

Jumanne hii ni zamu ya mawakili wa tume ya uchaguzi na mipaka IEBC na wale wa rais Uhuru Kenyatta kumtetea mbele ya mahakama hiyo.

Comments

comments