Raila aongoza Kenyatta kwa umaarufu siku 6 kabla uchaguzi

Raila aongoza Kenyatta kwa umaarufu siku 6 kabla uchaguzi

by -
0 168

Nairobi,KENYA: Iwapo uchaguzi ungefanyika leo kinara wa NASA Raila Odinga angeongoza kwa asilimia 48.

Naye rais Uhuru Kenyatta angepata asilimia 47.

Hayo ni kwa mujibu wa utafiti wa hivi punde kutoka kampuni ya Infotrack.

Katika utafiti huo, rais Kenyatta anaongoza katika majimbo matatu yakiwemo; Kaskazini mashariki. Rift valley na eneo la kati.

Naye Raila anaongoza kwa majimbo tano; pwani, mashariki, magharibi,Nyanza na Nairobi.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES