Mtu ahukumiwa miaka 20 jela kwa ubakaji

Mtu ahukumiwa miaka 20 jela kwa ubakaji

by -
0 248

Mombasa,KENYA:Mahakama ya mombasa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela mwanamume baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji.

Hakimu wa mahakama ya mombasa Douglas Ogoti amesema ushahidi uliotolewa kortini ulionyesha kuwa Nyanje Mwero alitekeleza ubakaji huo.

Mwero alim-baka msichana wa umri wa miaka 15 mwezi machi mwaka huu katika eneo la Majengo mapya likoni.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES