Matokeo ya mtihani wa KCPE kutolewa leo alhamisi

Matokeo ya mtihani wa KCPE kutolewa leo alhamisi

by -
0 275

Nairobi,KENYA: Matokeo ya mtihani wa darasa la 8 KCPE yanatarajiwa kutolewa leo.

Matokeo hayo yatatangazwa rasmi na waziri wa elimu Fred Matiang’i.

Awali serikali ilitangaza kuwa imebadilisha mtindo wa jinsi mtihani ulikuwa ukifanywa na hata muda wa kutoa matokeo.

Takriban wanafunzi elfu 950 walifanya mtihani huo.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES