“Jambazi sugu” auawa na kuchomwa moto Likoni

“Jambazi sugu” auawa na kuchomwa moto Likoni

by -
0 398

Mombasa,KENYA: Mshukiwa wa kundi la kihalifu kwa jina “the young thugs” huko Likoni ameuawa  na umma katika mtaa wa Miami.

Mshukiwa ambae ametambuliwa kama Athuman omar amekatwa panga na umma na kisha mwili wake kuchomwa hadi kiwango cha kutoweza kutambulika.

Wakaazi wanasema mshukiwa alikuwa amemshambulia mwanabiashara  kwa mishale na visu kabla  ya kukamatwa na kuuawa.

Polisi wamepata mishale 4 na visu viwili.Polisi pia wanasema walikuwa na wakati mgumu alhamisi kukota mabaki ya mwili wa mshukiwa huyo kwani vipande vilikua vimepatakaa.

Tukio hili linakuja siku moja baada ya wakuu wa usalama kuandaa mkutano wa dharura kuhusu usalama.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES