Wakaazi wa Marafa -Kilifi pia wakabiliwa na baa la njaa

Wakaazi wa Marafa -Kilifi pia wakabiliwa na baa la njaa

by -
0 347

KilifimKENYA: Wakazi zaidi ya 6000 kutoka wadi ya Marafa katika kaunti ndogo ya Magarini wanakumbwa na baa la njaa.
Akiongea na wakazi wakati wa ugavi wa chakula, mwakilishi wa wadi ya Marafa Renson Kambi amesema kuwa kuna haja ya serikali kuu, serikali ya kaunti ya Kilifi pamoja na wahisani mbali mbali kujitokeza kuwaokoa wakazi wanaokabiliwa na baa la njaa akisema idadi yao inazidi kuongezeka.

Kambi amesema kuwa serikali ya kaunti ya Kilifi inafanya kila juhudi kukabiliana na janga hilo hasa katika maeneo yaliyoathirika zaidi ikiwemo Magarini, Ganze, Bamba na Malindi.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES