Abiria waponea kifo Lamu baada ya basi lao kuchomeka

Abiria waponea kifo Lamu baada ya basi lao kuchomeka

by -
0 267

Lamu,KENYA: Abiria kadhaa wameponea kifo baada ya basi lao kushika moto katika eneo la Gamba  kaunti ya Lamu.

Basi hilo la Tahmeed lilikuwa likitoka Lamu kuja Mombasa wakati liliposhika moto katika kisa hicho cha ijumaa.

Hamna abiria aliyejeruhiwa lakini mizigo yao ilichomeka katika kisa hicho cha moto.

Kamishna wa kaunti ya Lamu – Joseph Kanyiri amesema uchunguzi umeanzishwa.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES