JSC yampendekeza jaji Mwilu kuwa naibu jaji mkuu

JSC yampendekeza jaji Mwilu kuwa naibu jaji mkuu

by -
0 313

Nairobi,KENYA:Tume ya huduma za mahakama JSC imempendekeza jaji wa mahakama ya rufaa Philomena Mbete Mwilu kuwa naibu jaji mkuu mpya.

Jaji Mwilu amewashinda majaji wengine 15 katika zoezi la kumchagua naibu jaji mkuu wa nchi.

Mwenyekiti wa JSC Prof Margaret Kobia, amesema jina la Mwilu sasa limewasilishwa kwa rais Uhuru Kenyatta kwa uteuzi rasmi.

Awali tume hiyo ilimpendekeza jaji David Maraga kuwa jaji mkuu mpya.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES