IEBC yamtumia rais Kenyatta barua ya kujiuzulu

IEBC yamtumia rais Kenyatta barua ya kujiuzulu

by -
0 274

Nairobi, KENYA:Makamishna wa tume ya uchaguzi nchini IEBC sasa wamemtumia rais Uhuru Kenyatta notisi ya kujiuzulu kwao.

Lakini wameomba kubaki ofisini hadi tume mpya itakapoteuliwa kuchukua nafasi yao.

Makamishna wa  IEBC waliafikiana na serikali wiki jana kuhusu malipo na marupurupu yao ya kuacha kazi.

Tume hiyo inavunjwa kufuatia maandamano ya upinzani na baadhi ya wananchi waliodai imekumbwa na utata na haiwezi kamwe kusimamia uchaguzi mkuu mwaka ujao.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES