Waziri awaonya wanafunzi wasumbufu wanaochoma shule

Waziri awaonya wanafunzi wasumbufu wanaochoma shule

by -
0 310

Nairobi,MOMBASA:Waziri wa elimu Fred Matiang’i ameonya kuwa wanafunzi wanaoshiriki mgomo katika shule zao na kuharibifu mali ya shule, kwamba kamwe hawataruhisiwa kuhamia shule zingine.

Matiang’i alisema serikali haitagharamia hasara itakayosababishwa na mgomo wa wanafunzi shuleni.

Msimamo wa Matiang’i unakuja wakati visa vya wanafunzi kushiriki mgomo na kuteketeza mali ya shule vikiripotiwa kuongezeka nchini.

Katika kisa cha hivi karibuni wanafunzi wa shule ya upili ya Itierio huko Kisii, walichoma mabweni 11 baada ya kukatazwa kutazama michauno ya mataifa ya bara ulaya-Euro.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES