Wanabodaboda wasaka majambazi wasumbufu

Wanabodaboda wasaka majambazi wasumbufu

by -
0 417

Mombasa,KENYA:Zaidi ya wahudumu 500 wa bodaboda eneo la soko mjinga Kisauni hapa Mombasa wamesimamisha biashara zao ili kuwasaka washukiwa wa wizi.

Hii inakuja siku moja baada ya mhudumu mmoja wa bodaboda kuuawa kwa kudunga kisu na kisha pikipiki yake kuibwa.

Wahudumu hao walisisitiza kuwachukulia sheria washukiwa watakaopatikana huku wakilaumu polisi kwa kutochukua sheria.

Kuna taarifa kuwa shughuli za biashara zilisimama kwa muda katika mtaa huo.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES