Vijana wa Mombasa wapewa shilingi milioni 100

Vijana wa Mombasa wapewa shilingi milioni 100

by -
0 329

Mombasa,KENYA:Serikali ya kaunti ya Mombasa inasema kuwa imetenga zaidi ya shilingi milioni 100 kusaidia vijana, akina mama na watu wenye ulemavu.

Pesa hizo zimetengwa kutika bajeti ya mwaka 2017 wa kifedha.

Akizungumza katika hafla hapa Mombasa, waziri wa michezo wa kaunti Mohamed Abass alisema fedha hizo zitatumika na makundi hayo kuanzisha miradi ya kibiashara.

Waziri Abass aliongeza kuwa wanaendelea kurekebisha kumbi za kufanyia mikutani zilizoko katika kaunti hii.

Comments

comments