Washukiwa wa al-shabaab wasakwa Kwale

Washukiwa wa al-shabaab wasakwa Kwale

by -
0 506
Kamishna wa Kwale Kutswa Olaka. PICHA: HISANI

Idara ya usalama kaunti ya Kwale inasema imeanzisha msako kuwasaka watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa kundi la Alshabaab wanaohusishwa na mauaji eneo la Ukunda.

Kamishana wa Kwale Kutswa Olaka anasema wanaendeleza oparesheni hiyo baada ya kupata habari muhimu kuhusu uwezekano wa wafuasia wa alshabaab kuwa eneo hilo.

Kulingana na Olaka, wanalenga vijiji vya Mwamambi, Chigoti, Mbuani na Bongwe  huko  Msambweni.

Hayo  yanakuja baada ya mwanamume Sudi Mwakore  aliyejisalimisha kwa polisi kutoka kwa kundi la al Shabaab kuuawa kwa kupigwa risasi wiki jana.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES