Mwili wa mwanamke aliyeshambiliwa na mamba wapatikana Tana river.

Mwili wa mwanamke aliyeshambiliwa na mamba wapatikana Tana river.

by -
0 433

Tana river, KENYA:Mwili wa mwanamke anayesemekana kushambuliwa na mamba katika kijiji cha mji wa wazee huko Hola kaunti ya Tana River umepatikana.

Mwili huo ulipatikana ukielea juu ya maji ya mto Tana eneo la Mikinduni.

Mwanamke huyo alisemekana alivamiwa na mnyama huyo, alipokuwa akichota maji katika mto Tana siku ya jumatano.

Maafisa wa shirika la huduma kwa wanayama pori kaunti hiyo wametahadharisha wakaazi kuwa makini wanapotembelea mto huo.

Tayari maafisa wa usalama wamechukua wa mwanamke huyo.

Comments

comments