Mwalimu wa dini afungwa maisha jela kwa kulawiti

Mwalimu wa dini afungwa maisha jela kwa kulawiti

by -
0 545

Mahakama ya Mombasa imemhukumu kifungo cha maisha gerezani mwalimu wa dini ya kiislamu kwa kupatikana na kosa la kulawiti.

Yusuf Ahmed Yusuf wa umri wa miaka 52 amekutwa na hatia ya kumlawiti mvulana wa umri wa miaka 9 mwezi Machi  mwaka 2015 katika eneo la changamwe kaunti ya Mombasa.

Hakimu Richard Odenyo amesema   ushahidi uliotolewa unatosha kudhibitisha mshukiwa alitekeleza kitendo hicho.

Kutokana na ushahidi wa mvulana mlalamishi, mshukiwa aliwaagizia wanafunzi waende kucheza lakini akachelewa kuoka  kabla ya mshukiwa kumtendea uovu huo.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES