Miaka mitano jela kwa kulawiti mvulana aliye na matatizo ya kiakili

Miaka mitano jela kwa kulawiti mvulana aliye na matatizo ya kiakili

by -
0 366

Mombasa, KENYA: Mahakama ya Mombasa imemhukumu kifungo cha miaka tano jela, mwanamume aliyekutwa na kosa la kumlawiti mvulana aliye na matatizo ya kiakili.

Ibrahim Ramadhani amekutwa na hatia ya kutekeleza kitendo hicho eneo la shelly Beach iliyo Likoni tarehe 30 mwezi Octoba mwaka jana.

Hakimu Susan Shitubi amesema ushahidi wa mashahidi wanne unadhihirisha mshtakiwa alimlawiti mvulana huyo mwenye matatizo ya kiakili.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES