Mama ajifungua na kutupa mtoto

Mama ajifungua na kutupa mtoto

by -
0 336

Mombasa,KENYA:Mwanamke amedaiwa kujifungua kitoto kichanga na kisha kukitupa katika jaa la taka eneo la Maweni Kisauni.

Kulingana na mkaazi mmoja aliyezungumza na Baraka FM, kitoto hicho kilikua tayari kimekufa.

Lakini haijajulikana aliyehusika na unyama huo.

Polisi walifika na kuondoa mwili wa kitoto hicho kichanga.

Aidhana polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu aliyetekeleza kitendo hicho.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES