Magavana Joho na Mrutu wasisitiza umuhimu wa Jumuiya ya kaunti za Pwani

Magavana Joho na Mrutu wasisitiza umuhimu wa Jumuiya ya kaunti za Pwani

by -
0 378

Magavana John Mruttu wa Taita Taveta na Hassan Joho wa Mombasa wanahimiza viongozi wenzao wa Pwani kuunga mkono jumuiya ya kaunti za Pwani.

Magavana hao wanasema hiyo ndio njia ya pekee ya kumaliza changamoto zinazokumba pwani.

Walikuwa wakizungumza huko Taveta walipohudhuria mazishi ya mzee Richard Kimbwarata, baba mkwe kwa gavana wa Taita Taveta John Mrutu.

Jumuiya hiyo ya kaunti za Pwani imekuwa ikipata upinzani kutoka kwa baadhi ya wabunge wa Pwani wakisema inaangazia  agenda za kisiasa badala ya maendeleo.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES