Jamii yachangia ulanguzi wa watoto, asema mwanaharakati

Jamii yachangia ulanguzi wa watoto, asema mwanaharakati

by -
0 350
CWID Executive Director Betty Sharon.

Watetezi wa haki za watoto hapa Mombasa wamelaumu jamii kwa kuchangia katika ulanguzi wa watoto kupitia ajira za nyumbani.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Coast Women In Development Betty Sharon anasema ulanguzi huo umeenea katika miji mikuu humu nchini, ambapo watu wengi huwachukua watoto hao kutoka maeneo ya mashinani hadi mjini.

Haya yanajiri huku Kenya kupitia wanaharakati kutoa hamasa kuhusu umuhimu wa kupambana na ulanguzi wa binadamu.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES