Kesi dhidi ya Mutahi Ngunyi yasitishwa

Kesi dhidi ya Mutahi Ngunyi yasitishwa

by -
0 334
Mutahi Ngunyi , political analyst.

Hakimu wa Nairobi Martha Mutuku amesitisha kesi ya mchanganuzi wa kisiasa Mutahi Ngunyi kuhusu matamshi ya chuki.

Hii ni baada ya wakili wa Ngunyi kufika mahakamani kuomba wakati wa mteja wake kujadiliana na walalamishi wa kesi hiyo.

Upande wa mashtaka umesema hatua hiyo haijachukuliwa rasmi na mshukiwa.

Kesi itatajwa Machi tarehe 1 baada ya majadiliano kati ya Ngunyi na walalamishi ambao ni tume ya NCIC na katibu mkuu wa LSK.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES