Gavana Mruttu asalimu amri na kuidhinisha bajeti

Gavana Mruttu asalimu amri na kuidhinisha bajeti

by -
0 445
Governor John Mruttu, Taita Taveta County.

Gavana wa Taita Taveta John Mruttu hatimaye amekubali kutia sahihi mswada wa bajeti ya ziada (Supplementary Appropriation Bill, 2015).

Hii itaiwezesha kaunti hiyo kulipa madeni pamoja na kukamilisha miradi ya maendeleo licha ya bunge la kaunti hiyo kupunguza zaidi ya shilingi milioni 300 ambazo zilikuwa zimetengewa miradi.

Bunge la kaunti hiyo kadhalika imejiongezea  shilingi millioni 200 ambazo zitatumika katika hazina ya maendeleo ya wadi.

Kumekuwepo na mvutano katika ya gavana Mruttu wa bunge la kaunti kuhusiana na kupitishwa kwa bajeti ya shilingi bilioni 3.8 ya mwaka 2015/16.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES