Washukiwa wa MRC wafikishwa tena mahakamani Kwale.

Washukiwa wa MRC wafikishwa tena mahakamani Kwale.

by -
0 347

Kesi dhidi  ya washukiwa hao 42 wa vuguvugu la Mombasa Republican Council -MRC  iliyotarajiwa kusikizwa Jumatatu sasa inasikizwa leo Jumanne.

Hii kutokana na wakili anayesimamia kesi hiyo kuiomba isikizwe leo kutokana na kesi nyingine KAMA HIYO iliyoko katika mahakama ya Malindi  hapo jumatatu.

Washukiwa hao walikamatwa eneo la Tiwi siku ya ijumaa  kwa madai ya kuendesha mkutano bila kibali .

Kesi hiyo inasikizwa na hakimu mkaazi Paul Mutahi .

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES