Polisi wamzuia mfanya-biashara aliyeua Changamwe, Mombasa

Polisi wamzuia mfanya-biashara aliyeua Changamwe, Mombasa

by -
0 288

Mfanyibiashara huyo anadaiwa kumuua mteja wake usiku wa kuamkia Ijumaa eneo la Magongo wilayani Changamwe, kufuatia kile kinachotajwa kama mzozo wa kibiashara.

Mwanamume huyo anadaiwa kuuawa na mfanya-baishara  huyo wa kuuza matunda na mboga, eneo la Mwisho wa Matatu huko Magongo.

Wenyeji wa eneo hilo wameambia Baraka FM kuwa mzozo ulitokana na deni la pesa za mhogo.

Polisi wanasema wameanzisha uchunguzi.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES