Mradi wa nishati wa ‘Amu Power” kuendelea Mpeketoni kaunti ya Lamu

Mradi wa nishati wa ‘Amu Power” kuendelea Mpeketoni kaunti ya Lamu

by -
0 369

Mahakama kuu mjini Malindi imetupilia mbali kesi inayopinga mradi wa nishati eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu.

Kesi hiyo iliwasilishwa na baadhi ya wawakilishi wa wadi kaunti ya lamu wanaopinga mradi huo.

Viongozi hao wanadai kuwa mradi huo wa kuzalisha umeme kupitia upepo utasabisha athari za kiafya kwa waakazi mbali na kuchafua mazingira.

Vile vile wanadai kuwa kampuni inayohusika imekosa kuwahusisha ipasavyo waakazi, katika shughuli za mradi huo.

Mradi huo ‘Amu Power’ utagharimu takriban shillingi billion 20.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES