Polisi wamsaka mshukiwa wa wizi Kilifi

Polisi wamsaka mshukiwa wa wizi Kilifi

by -
0 304

Maafisa wa polisi mjini Kilifi wanamsaka mshukiwa huyo anayetambulika tu kama Bakari.

Mshukiwa huyo  anayeaminika kumpiga risasi na kumjeruhi mfanyabiashara mmoja mjini humo, mwishoni mwa wiki iliyopita.

Kwa mujibu wa machifu wawili ambao hawakutaka kutambuliwa , mshukiwa anadaiwa kuvamia duka la Mpesa la muathiriwa kisha kutoroka na kiasi cha pesa ambacho hakijabainika.

 

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES