Mvutano kuhusu Bandari ya Mombasa wafia Rais Kenyatta.

Mvutano kuhusu Bandari ya Mombasa wafia Rais Kenyatta.

by -
0 341

Wabunge wa Pwani sasa wanamtaka rais Uhuru Kenyatta angilie kati  mgororo baina ya serikali ya kaunti ya Mombasa na serikali kuu kuhusu mapato kutoka  Bandari ya Mombasa.

Viongozi wa Mombasa wamekuwa wakadai bandari hiyo ni raslimali ya Mombasa, hivyo basi wanastahili kupata mgao kutoka bandarini.

Wabunge wa Pwani waliwasilisha kilio chao kwa rais Kenyatta hapo Ijuma.

Wakati huo huo ugavi wa shamba lenye utata la Waitiki eneo la Likoni hapa Mombasa unatarajiwa kuanza wiki tatu zijazo.

Uamuzi huo unafuatia maafikiano baina ya serikali na mmiliki wa ardhi hiyo.

Watu laki mmoja wanaoishi katika ardhi hiyo wanatarajiwa kupata hati miliki baada ya ugavi huo kukamilika.

Comments

comments

SIMILAR ARTICLES